Mkurugenzi wa Cafe
latino Dodoma Mr Nouman Khalid akiongea na uongozi wa website hii
kuhusiana na lounge yake, Amesema anategemea kwenye mkesha wa x mass
kuizindua Latino Lounge, ambayo inamwonekano wa kipekee ambayo ana
uhakika wa kufanya vizuri katika mji wa Dodoma,
Haya sasa mkazi wa dodoma kiwanja kipya hiki kinafunguliwa siku ya mkesha wa christmas ndani ya mkoa wa dodoma usikoseee
Show Hii Kali ya kusherekea mafanikio ya mwaka 2013 kwa pamoja Dodoma inafanyika Africa Dream Hotel na Pia Ben Paul Atapewa nguvu na wasanii kibao kutoka Dar es salaam. Kiingilio Ni 7000