Miss Tanzania 2013/2014 Happiness Watimanywa amewasili Mjini Dodoma katika Mshindano ya Miss Kanda kati ambayo yanafanyika leo Ijumaa Mjini Dodoma katika Ukumbi Mpya wa Kilimani, |
Miss Tanzania Happiness Watimanywa aliapata nafasi ya kukutana na warembo na kubadilishana mawazo wakati wakipata chakula cha Usiku pale Dodoma Carnival. |
CDT:BOSS NGASA TZ
No comments:
Post a Comment