Hawa ni ndio washiriki wa Reds Miss Udom 2014 watakaochuana Ijumaa hii ya tar 11 /4/ 2014 katika Ukumbi mpya wa Kilimani Landmark |
Mazoezi ya Mashindano haya yanafanyika New Maisha Club Chini ya Dj Abou Mkali kwenye Mashine A.K.A Shemeji, |
Na pia katika siku ya kesho Jumatano ya Tar 9 April kutakuwa na Mchujo ambapo warembo kumi watachaguliwa kuingia moja kwa moja kwenye Mchuano huo na siku ya Ijumaa watapanda Jukwaa moja na kumpata mshindi atakayeiwakilisha Udom katika Miss Tanzani 2014 |
USIKOSA KUSHUHUDIA MCHUANO MKALI WAREMBO KUTOKA UDOM IJUMAA HII KTK UKUMBI WA KILIMANI LANDMARK |
No comments:
Post a Comment