Pages

Friday, December 20, 2013

LATINO LOUNGE KUFUNGULIWA NDANI YA DODOMA TAR 24 MWEZI HUUU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!



Mkurugenzi wa Cafe latino Dodoma Mr Nouman Khalid akiongea na uongozi wa website hii kuhusiana na lounge yake, Amesema anategemea kwenye mkesha wa x mass kuizindua Latino Lounge, ambayo inamwonekano wa kipekee ambayo ana uhakika wa kufanya vizuri katika mji wa Dodoma,




Photo: Latino lounge



Haya sasa mkazi wa dodoma kiwanja kipya hiki kinafunguliwa siku ya mkesha wa christmas ndani ya mkoa wa dodoma usikoseee

Wednesday, December 4, 2013

Ben Pol Home Coming Party ndani Ya Dodoma @African Dream Hotel Jumamosi Hii Usikoseeeeeee!!!!!!!!!!!!!




Show Hii Kali ya kusherekea mafanikio ya mwaka 2013 kwa pamoja Dodoma inafanyika Africa Dream Hotel na
Pia Ben Paul Atapewa nguvu na wasanii kibao kutoka Dar es salaam. Kiingilio Ni 7000

Monday, November 11, 2013

HAYA NDO YALIYOJIRI UDOM KATIKA PARTY YA WELCOME 1ST YEAR BASH, ILIKUWA NI BALAA:

























PICHA HAPO CHINI NI YALIYOJIRI KATIKA BONANZA LILILOKUWA LIKIENDELEA CHUONI HAPO AMBAPO FINAL CHUO CHA ST JOHN KILIIBUKA KIDEDEA KWA KUIBUKA NA USHINDI:







Sunday, November 3, 2013

TAZAMA PICHA JINSI CLUB MAISHA DODOMA WALIPOZINDUA DJ LIVE DRUMMER


Zungu Myama awa kivutio kikubwa sana ndani ya New Maisha club siku ya jana:
Kikosi cha xtreme Jeejayz ambacho hakika kila kukicha kinazidi kujijengea heshima kubwa ndani ya nchi na nje ya nchi kwa ubunifu mkubwa wanaoufanya wa kutoa burudani zenye utofauti na zinazotolewa mahara pengine.
Tarehe 2/11/2013 jana Xtreme Deejayz walikuwa na onesho maalum na utambulisho wa staili yao mpya ya DJ LIVE DRUMMER ambayo imezinduliwa mapema mwezi uliopita Jijini Dar kwenye Club Maisha.

Mwandishi wetu alishuhudia vijana hao wa Xtreme Deejayz wakiongozwa na Dj mkongwe nchini Dj Majey Majizo 4 Chizo ambae pia ndiye mkurugenzi mtendaji wa Club Maisha zote nchini ambapo onesho hilo lilifanya hakuna mfano na kuwachanganya mashabiki kiasi cha kushindwa kuamini kama mambo yaliyokuwa yanafanyika ni ya watanzania au laa.
Shoo hiyo ilianza saa sabana na dakika 20 za usiku ambapo Dvj  Majey, Zungu Mnyama na Hyperman Hk walianza kutoa burudani kwa mashabiki waliokuwa wamejazana wanaokadiliwa kufikia zaidi ya elfu mbili mia tano huku Zungu akicharaza drum kama hana akili nzuri.

Hata hivyo katika hali isiyotegemewa mashabiki wengi walionekana kukunwa vilivyo na Zungu Mnyama ambae ni mlemavu wa ngozi lakini alionesha kipaji cha hali ya juu kiasi cha kuwaliza baadhi ya mashabiki huku wakijikuta wakimwagia mihela kibao kama kuonesha upendo wao kwao huku wengine wakitoa machozi yao.









Aidha katika hatua nyingine mashabiki wengi waliridhishwa na show hiyo hadi kuuomba uongozi wa Club hiyo kuandaa kila wiki  ili waweze kupta burudani ya namna hiyo.

Saturday, October 12, 2013

NEW MAISHA CLUB DODOMA

 




DJ PQ






DJ FETTY NA DJ HUNTER ZE SNYPER




DJ HUNTER

IZZO BUSINESS ,DJ ABOU MKALI & BOSS NGASA

DJ S DAIZO & IZZO B

DJ CUTTER & BAUCHA

DJ PQ &DJ ABOU MKALI

S DAIZO & BAUCHA

S DAIZO ,PQ & DJ ABOU MKALI


DJ CUTTER



DJ FETT & DJ HUNTER

RICH MAVOCO & FUNS

FULL GAMBE VIP @ MAISHANI DODOMA:

NUH MZIWANDA MDASTAMINA



S DAIZO,STAMIN.& IZZO B