Pages

Friday, August 15, 2014

PICHA 6 ZA WASANII WATAKAOPIGA SHOW KILI TOUR WAKIWA WAMEWASILI DODOMA







Saturday, June 21, 2014

MISS TANZANIA AWASILI DODOMA , APATA CHAKULA CHA USIKU NA WAREMBO MISS KANDA PALE DODOMA CARNIVAL, MASHINDANO KUFANYIKA UKUMBI WA KILIMANI CLUB



Miss Tanzania 2013/2014 Happiness Watimanywa amewasili Mjini Dodoma katika Mshindano ya Miss Kanda kati ambayo yanafanyika leo Ijumaa Mjini Dodoma katika Ukumbi Mpya wa Kilimani,



 Miss Tanzania Happiness Watimanywa  aliapata nafasi ya kukutana na warembo na kubadilishana mawazo wakati wakipata chakula cha Usiku pale Dodoma Carnival.


 





Miss Tanzania leo ni Mmoja kati ya wageni watakaohudhurua Mshindano haya ya kumtafuta Mlimbwende Miss kanda ya kati ambapo mshindi atapata nafasi ya kwenya moja kwa moja kushiriki Miss Tanzania itakayofanyika hivi karibuni
 


























CDT:BOSS NGASA TZ


Saturday, June 14, 2014

TAZAMA PICHA 20 ZA SHOW YA UZALENDO ILIYOFANYIKA DODOMA IKIONGOZWA NA RAIS JAKAYA KIKWETE



















TAZAMA PICHA 5 ZA DIAMOND,SHILOLE,SAID FELLA,BABU TALE,MARTIN KADINDA NA WASANII WENGINE WAKIWA UWANJA WA JAMHURI DODOMA KWENYE TAMASHA LA UZINDUZI WA VIDEO YA MIAKA 50 YA TANZANIA

 Martin Kadinda akiwa na Shilole Ndani ya Uwanja wa Jamhuri Dodoma
 Martin Kadinda na Diamond wakijadiliana
 Shilole,Martin Kadinda na Diamond


Mzee Chilo na Diamond wakishow love katika Uwanja Jamhuri Dodoma Leo hii Ambapo wasanii wote watahusika katika Jukwaa Moja


Wednesday, June 11, 2014

KUFURU LA UFUNGUZI WA DODOMA CARNIVAL ILIKUWA NI BALAHAAAAAA ONA HAPA LIVE!!

Jumapili ya tar 08.06.2014 ulifanyika uzinduzi wa ukumbi mpya mjini Dodoma uliopo maendeo ya Stendi ya mkoa ambapo ilikuwepo Bendi mpya ya Malaika au Wafalme wa Masauti waliotoa burudani kali mbele ya mashabiki wao kibao waliojitokeza kufurahi jioni Tazama picha mbalimbali watu wakila burudani mwanzo mwisho.
Andrew Sekedia alitekenya kinanda vya kutosha kuwapagawisha mashabiki

Wafalme wa Masati hapa wakilikamua Sebene ipasavyo

Christian Bella akikamua sambamba na wanamuziki wenzake