Featured Posts
Friday, August 15, 2014
Saturday, June 21, 2014
MISS TANZANIA AWASILI DODOMA , APATA CHAKULA CHA USIKU NA WAREMBO MISS KANDA PALE DODOMA CARNIVAL, MASHINDANO KUFANYIKA UKUMBI WA KILIMANI CLUB
Miss Tanzania 2013/2014 Happiness Watimanywa amewasili Mjini Dodoma katika Mshindano ya Miss Kanda kati ambayo yanafanyika leo Ijumaa Mjini Dodoma katika Ukumbi Mpya wa Kilimani, |
Miss Tanzania Happiness Watimanywa aliapata nafasi ya kukutana na warembo na kubadilishana mawazo wakati wakipata chakula cha Usiku pale Dodoma Carnival. |
CDT:BOSS NGASA TZ
Saturday, June 14, 2014
TAZAMA PICHA 5 ZA DIAMOND,SHILOLE,SAID FELLA,BABU TALE,MARTIN KADINDA NA WASANII WENGINE WAKIWA UWANJA WA JAMHURI DODOMA KWENYE TAMASHA LA UZINDUZI WA VIDEO YA MIAKA 50 YA TANZANIA
Martin Kadinda akiwa na Shilole Ndani ya Uwanja wa Jamhuri Dodoma
Martin Kadinda na Diamond wakijadiliana
Shilole,Martin Kadinda na Diamond
Martin Kadinda na Diamond wakijadiliana
Shilole,Martin Kadinda na Diamond
Mzee Chilo na Diamond wakishow love katika Uwanja Jamhuri
Dodoma Leo hii Ambapo wasanii wote watahusika katika Jukwaa Moja
Wednesday, June 11, 2014
KUFURU LA UFUNGUZI WA DODOMA CARNIVAL ILIKUWA NI BALAHAAAAAA ONA HAPA LIVE!!
Jumapili ya tar 08.06.2014 ulifanyika uzinduzi wa ukumbi mpya
mjini Dodoma uliopo maendeo ya Stendi ya mkoa ambapo ilikuwepo Bendi
mpya ya Malaika au Wafalme wa Masauti waliotoa burudani kali mbele ya
mashabiki wao kibao waliojitokeza kufurahi jioni
…
Tazama picha mbalimbali watu wakila burudani mwanzo mwisho.
Andrew Sekedia alitekenya kinanda vya kutosha kuwapagawisha mashabiki
Wafalme wa Masati hapa wakilikamua Sebene ipasavyo
Christian Bella akikamua sambamba na wanamuziki wenzake
Andrew Sekedia alitekenya kinanda vya kutosha kuwapagawisha mashabiki
Wafalme wa Masati hapa wakilikamua Sebene ipasavyo
Christian Bella akikamua sambamba na wanamuziki wenzake
Subscribe to:
Posts (Atom)